kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Na hata alivyo tu Kimwonekano hapendezi kuwa Nahodha wa Timu na hata Kunyanyua Kombe lenye Hadhi kama hilo.Harry kane amewatia gundu wenzie mpaka kombe wamelikosa kama alivyowapelekea gundu bayern munich wakakosa ubingwa msimu uliopita na sasa kwa mara nyingine vijana walipambana lakini mkosi aliokuwa nao kane ni hatari sana imefika kipindi apumzike ili awaachie vijana wabebe kombe tu!
Umemshtukia una jicho kali sana!Na hata alivyo tu Kimwonekano hapendezi kuwa Nahodha wa Timu na hata Kunyanyua Kombe lenye Hadhi kama hilo.
Na ndiyo maana nikawa "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" Mkuu. Nina Shani ya Mungu.Umemshtukia una jicho kali sana!
Wabongo wakisifiwa🤣🤣🤣Na ndiyo maana nikawa "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" Mkuu. Nina Shani ya Mungu.
Ngoja nawe usifiwe!Wabongo wakisifiwa🤣🤣🤣
Hata akiwa mwalimu litamuandama maana amecheza fainal mbili za uefa na fainal mbili za uero katoka kapa!Hili gundu sijui akalisafishie wap
Labla msimu huu ukianzaHata akiwa mwalimu litamuandama maana amecheza fainal mbili za uefa na fainal mbili za uero katoka kapa!
Kweli kabisa...Harry kane amewatia gundu wenzie mpaka kombe wamelikosa kama alivyowapelekea gundu bayern munich wakakosa ubingwa msimu uliopita na sasa kwa mara nyingine vijana walipambana lakini mkosi aliokuwa nao kane ni hatari sana imefika kipindi apumzike ili awaachie vijana wabebe kombe tu!
Wewe hujaona kule Kwa trump wanasema kajitungua kupata kura za huruma wakati risasi ingempata vizuri sijui wangesema kajiua kukwepa aibu ya kushindwa.Shida ya sisi watu pale vitu visivyo enda sawa ndio tunatoa maneno yetu but kama jana England angeshinda sizan kama Kuna chochote kingeongelewa kibaya kuhus HARRY KANE
Nawasilisha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwamba ana gundu sijapata kuona.
Hata kufika pale final inaonekana walikuwa na bahati ya ajabu. Na ingeshangaza sana kama wangeshinda.Ila nyie watu mna matatizo ya problem. Kwahiyo mlitarajia kabisa kwamba England inaweza kutoboa mbele za wale madogo wa Spain? Kwa England hii hii isiyo na tofauti na Taifa Stars? Kuweni serious basi.