Kwani yeye sio kijana?Harry Kane amewatia gundu wenzie mpaka kombe wamelikosa kama alivyowapelekea gundu Bayern Munich wakakosa ubingwa msimu uliopita na sasa kwa mara nyingine vijana walipambana lakini mkosi aliokuwa nao kane ni hatari sana imefika kipindi apumzike ili awaachie vijana wabebe kombe tu.
Keshajichokea kwa mchezo wa soka!Kwani yeye sio kijana?
Three quarters ya umri wake na akiwa peak hakuwahi Kupata kombe lolote nchini kwake, Leo at the age of Nabii Ibrahim na Sarai wanafanikiwa kumpata Isack. Ashauriwe arudi England na ajiunge na kati ya Man. City au Liverpool pengine mwakani anaweza kupata kimoja wapo kati ya epl, fa, au Carling na pengine hata champion Ili ashangilie mbele ya jamaa zake.Gundu limemalizika sasa !
Katika hii fani ya soka kuna talent na bahati pia juhudi, mchezaji anaweza kuwa na kimojawapo, viwili, ama vyote vitatu.Three quarters ya umri wake na akiwa peak hakuwahi Kupata kombe lolote nchini kwake, Leo at the age of Nabii Ibrahim na Sarai wanafanikiwa kumpata Isack. Ashauriwe arudi England na ajiunge na kati ya Man. City au Liverpool pengine mwakani anaweza kupata kimoja wapo kati ya epl, fa, au Carling na pengine hata champion Ili ashangilie mbele ya jamaa zake.
TayarMwamba ana gundu sijapata kuona.