Harry Maguire apokea vitisho vya bomb, kulipua nyumbani kwake

Financial Analyst

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2017
Posts
1,849
Reaction score
3,506
Harry alipokea vitisho hivyo kupitia e mail, vilivyohusisha kulipua nyumba yake.

Harry aliripoti Polisi kuhusu issue hiyo, hii ilipelekea Maguire kuondoka nyumbani hapo ili uchunguzi ufanyike kupitia "explosive dogs" na bomb squad kiujumla.

Hii imetokea baada ya Maguire kuwa criticized sana kutokana na performance mbaya uwanjani.

Aise, soccer haitakiwi kufika kiwango hiki.
 
Pamoja na yote huyu jamaa amekuaje beki wa kutumainiwa pale man u ? Huyu anazidiwa mbali Sana na inonga achilia mbali mwamnyeto alafu et jitu Kama hili linalipwa mamilion ya pesa kwa wiki ,hii dunia haiko fair kabisa.
 
Kisa uingereza wake ndio Mana anakingiwa kifua
 
Maguire mwenyewe sasaaa 😅

A2AD331C-88E4-4DD1-AF61-F377DB0BA63E.jpeg
 
Harry alipokea vitisho hivyo kupitia e mail, vilivyohusisha kulipua nyumba yake.

Harry aliripoti Polisi kuhusu issue hiyo, hii ilipelekea Maguire kuondoka nyumbani hapo ili uchunguzi ufanyike kupitia "explosive dogs" na bomb squad kiujumla.

Hii imetokea baada ya Maguire kuwa criticized sana kutokana na performance mbaya uwanjani.

Aise, soccer haitakiwi kufika kiwango hiki.
Huyu ndio wapenzi wa man uyd walisemaga ni mzuri kuliko coulibally wa napoli🤣🤣🤣🤣🤣
 
Harry alipokea vitisho hivyo kupitia e mail, vilivyohusisha kulipua nyumba yake.

Harry aliripoti Polisi kuhusu issue hiyo, hii ilipelekea Maguire kuondoka nyumbani hapo ili uchunguzi ufanyike kupitia "explosive dogs" na bomb squad kiujumla.

Hii imetokea baada ya Maguire kuwa criticized sana kutokana na performance mbaya uwanjani.

Aise, soccer haitakiwi kufika kiwango hiki.
Yule Maguire wa Tandale au?
 
Hahahahaaaa,hakika Maguirre amesemwa sana akiwa na roho nyepesi anaweza staafu mpira
 
Harry alipokea vitisho hivyo kupitia e mail, vilivyohusisha kulipua nyumba yake.

Harry aliripoti Polisi kuhusu issue hiyo, hii ilipelekea Maguire kuondoka nyumbani hapo ili uchunguzi ufanyike kupitia "explosive dogs" na bomb squad kiujumla.

Hii imetokea baada ya Maguire kuwa criticized sana kutokana na performance mbaya uwanjani.

Aise, soccer haitakiwi kufika kiwango hiki.
70% hawamfahamu huyo MAGWAYA

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
RIP panya magwaya. Ona wajina wako anavoaibika huku uwanjani
 
Back
Top Bottom