Financial Analyst
JF-Expert Member
- Nov 27, 2017
- 1,849
- 3,506
Huyu ndio wapenzi wa man uyd walisemaga ni mzuri kuliko coulibally wa napoli🤣🤣🤣🤣🤣Harry alipokea vitisho hivyo kupitia e mail, vilivyohusisha kulipua nyumba yake.
Harry aliripoti Polisi kuhusu issue hiyo, hii ilipelekea Maguire kuondoka nyumbani hapo ili uchunguzi ufanyike kupitia "explosive dogs" na bomb squad kiujumla.
Hii imetokea baada ya Maguire kuwa criticized sana kutokana na performance mbaya uwanjani.
Aise, soccer haitakiwi kufika kiwango hiki.
Yule Maguire wa Tandale au?Harry alipokea vitisho hivyo kupitia e mail, vilivyohusisha kulipua nyumba yake.
Harry aliripoti Polisi kuhusu issue hiyo, hii ilipelekea Maguire kuondoka nyumbani hapo ili uchunguzi ufanyike kupitia "explosive dogs" na bomb squad kiujumla.
Hii imetokea baada ya Maguire kuwa criticized sana kutokana na performance mbaya uwanjani.
Aise, soccer haitakiwi kufika kiwango hiki.
Hii imetokea baada ya Maguire kuwa criticized sana kutokana na performance mbaya uwanjani.
70% hawamfahamu huyo MAGWAYAHarry alipokea vitisho hivyo kupitia e mail, vilivyohusisha kulipua nyumba yake.