Harufu baada ya Chafya

frank lujaju

Member
Joined
Aug 21, 2011
Posts
58
Reaction score
4
Habari wana JF,Napenda kuelimishwa sababu na tiba juu ya harufu inayotoka baada ya kupiga Chafya,je usababishwa na nini na nini tiba yake ,asanteni
 
Unaweza kuwa na matatizo tumboni. Muone doctor
 
Aisee,hiyo kitu huwa inanikera sana. Kuna mtu alipiga chafya in a meeting harufu ilisambaa kote. Nilicho observe ni alipiga mdomo wazi, na niliona chembechembe za mate(sijui na bacteria,lol). Njia ya haraka ni kuhakikisha unapiga chafya ukiwa umefunga mdomo.
My guess. Tatizo laweza kutokana na ubovu wa meno ama mafindofindo, same reasons zinazopelekea kunuka mdomo.
 

Sawa sawa uenda ukawa sahihi zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…