Harufu mbaya kutokea koo la hewa

Harufu mbaya kutokea koo la hewa

giraffe

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2010
Posts
630
Reaction score
257
Jamani yapata miezi 8 sasa kuna halufu mbaya nahisi ni makasi yameozeana kwenye njia ya hewa, Nakumbuka jinsi tatizo lilivyoanza,nilipata mafua nikameza codril kidonge 1 tu mafua yakawa kama yamekauka sikuendelea na dawa tena.

Baada ya wk kama 1 particles za mafua yenye halufu zinatoka.Hostpal walinipatia amoxil but hazikusaidia.

NAOMBEN4 MNISAIDIE
 
Pole sana giraffe. kuna product iliyoandaliwa kiasilia ambayo haina madhara twaweza kuwasiliana kwenye email halafu nikaweza kukusaidia ili uweze kuepukana na tatizo. healthwealthfirst@gmail.com
 
Back
Top Bottom