Harufu mbaya ya miguu ilivyonikosesha Tunda

Harufu mbaya ya miguu ilivyonikosesha Tunda

gwego1

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2023
Posts
265
Reaction score
897
Wakuu habari.

Harakati za pimbi(kutafuta ridhiki) nimejikuta nafanya kibarua(casual) kwenye processing plant ya dhahabu. Ambako mda wote tunashinda tumevaa gambuti na baada ya kazi tunaenda kuoga chapu ndani ya dk 5 inatakiwa uwe ushamaliza kuoga uko kwenye usafiri unarudi nyumbani.

Kwa kadhia hii asilimia kubwa unajikuta umevaa viatu miguu ikiwa haijakauka kiasi kwamba swala la kupata fungus ni kugusa!. Ambayo inapelekea miguu kunuka. Bila kuweka bicarbonate utafikiri Kuna mzoga umekufa ukivua viatu.

Basi bana juzi kati nikapata kadem tukakubariana tukalane! Kwa bahati mbaya nikaenda eneo la kulana bila kupita home kuoga vizuri na kuvua vile viatu vinavyonuka.

Shoo inaanza nilivyovua viatu tu harufu kali ikatapakaa chumbani! Nikajua hapa tayari nishayakanyaga😌😌😌.

Kuona hivyo yule mdada alijifanya anapokea sim nakujifanya kuwa mama ake anaumwa then akasepa zake. Kuanzia hapo hapokei sim zangu wala message!!

We Aggy usiniache please hili swala linazungmzika.

1720545115028.png

Nawasilisha.

Pia soma: Dawa ya Miguu kunuka Andaa mwenyewe popote ulipo
 
Wakuu habari.
Harakati za pimbi(kutafuta ridhiki) nimejikuta nafanya kibarua(casual) kwenye processing plant ya dhahabu. Ambako mda wote tunashinda tumevaa gambuti na baada ya kazi tunaenda kuoga chapu ndani ya dk 5 inatakiwa uwe

We Aggy usiniache please hili swala linazungmzika.
Nenda phamacy kubwa nunuwa mycota powder utanishukuru baadaye.
 
Kila jioni unapotoka kazini safisha miguu yako hasa nyayo Kwa kipande Cha limao... Hii tiba pia inafanya kazi ya kutoa pombe kichwani.
 
Aggy sio mvumilivu kabisa, badala akupe shule nini cha kufanya yeye anakukimbia...

Kaniangusha sana.
 
Back
Top Bottom