Harufu mbaya ya mkojo

Njaa

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2009
Posts
1,022
Reaction score
412
Hello wana JF

Kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikikojoa mkojo mchafu sana tena unanuka kupita kiasi, nimeenda hospital mara kadhaa na kupewa dawa ambazo zilinisaidia kwa muda mfupi sana. Nimejaribu kubadili chakula lakini wapi? Hali ni mbaya zaidi asubuhi maana mkoja unanuka kama mfereji wa maji machafu vile. Nimejitahidi kunywa maji mengi sana bila mafanikio, nimejaribu pia kunywa maji ya madafu bila mafanikio.


Please naomba msaada katika hilo, ukiweza ni-PM

Njaa
 
angalia isije ikawa mkojo wako unapitia kwenye mtumbo mpana ndio unatoka tena nje. pole lkn mkuu mungu akujalie upate nafuu katika tatizo linalo kukabili, hakika ukimtegemea yeye utapona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…