daraja la kigamboni
JF-Expert Member
- Apr 28, 2016
- 3,127
- 3,062
Hana meno yaliyooza, anapiga mswaki kila siku1)anameno yaliyooza na kuweka vishimo?
2)mswaki anapiga mwenyewe au nyinyi ndio mnamsafisha?
Hapo atakuwa hapigi mswali vizuri anapiga tu kwenye meno anasahau kusafisha na ulimi jitahidi umwelekeze jinsi ya kupiga mswaki kwa usahihi utaona harufu imepotea.Hana meno yaliyooza, anapiga mswaki kila siku
Meno yasafishwe kwa utaratibu ufuatao,Mtoto ana miaka 5 lakini anaharufu kali mdomoni, hata akipiga mswaki baada ya muda mfupi inarudi tena. Nini chanzo na tiba yake
Tatizo wala sio kubwa!Mtoto ana miaka 5 lakini anaharufu kali mdomoni, hata akipiga mswaki baada ya muda mfupi inarudi tena. Nini chanzo na tiba yake
Tatizo wala sio kubwa!
Issue ni kuwa ulimwanzisha kumpiga mswaki akiwa mtoto mdogo..
Watoto wadogo chini ya miaka 12 hawaruhusiwi kupiga mswaki, dawa za meno zote zina madhara.
Unapopiga mswaki na dawa unaua vijidudu sahihi vinavyozalisha Vitamini B12.
Hivyo kinywa kimekosa kinga yake na kuvamiwa na wadudu wasiofaa wanaochakata vyakula jamii ya sukari na hivyo kutoa harufu.
Dawa yake muachishe kumpiga mswaki na dawa, badala yake mfundishe kusukutua kwa kidole tu, baada ya muda kinga yake ya kinywa ikijijenga ataacha kutoa harufu, vivyo hivyo kwa watu wazima.
Asipige msuaki kwa kutumia dawa, apige dryKwahiyo mtoto wa five years asipige mswaki?? Au unamaanisha 12 years asipige mswaki?? 12 years si mtoto wa class 7 au 6.