Harufu ya mwili

Harufu ya mwili

Northern Lights

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2013
Posts
395
Reaction score
357
Ladies and gentlemen tusaidiane kidogo hapa...
Hivi ni njia ipi bora ya kumwambia mtu mwili wake unatoa harufu bila kum-offend? Ni opposite sex na mna mahusiano either ya kikazi (co-worker) ama kwa namna moja kuna kitu kinawaweka eneo moja siku zote za kazi
 
Muambie tu ukweli ila hakikisha kumwambia hukua na maana mbaya ila ulitaka kumsaidia tu
 
Utazunguuuja we
Tafuta namba nyingine mtumie sms mwambie ukweli wote muelekeze na nini cha kufanya.
Kama huwezi tafuta jamaa ako hapo ofisini muAnze kumtania utani utani mama kikwapa hicho maji ya dawasco nini,atanyooka tu
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tafuta product ambazo unahisi zitaweza msaidia then muulize ..fulani ushawai tumia sabuni ,perfume,lotion,mafuta fulani akijibu “no” mwambie jaribu ni mazuri yatakusaidia ,then mueleze kwa nini unamsaidia
 
Ladies and gentlemen tusaidiane kidogo hapa...
Hivi ni njia ipi bora ya kumwambia mtu mwili wake unatoa harufu bila kum-offend? Ni opposite sex na mna mahusiano either ya kikazi (co-worker) ama kwa namna moja kuna kitu kinawaweka eneo moja siku zote za kazi
Mnunulie body spray kama zawadi
 
Mnunulie perfume mletee mwambie nimekuletea zawadi atajiongeza kama muelewa
 
Dawa ni kumwambia Mtu ukweli, wa kuelewa hatoweza kukasirika hata Siku moja.

Na yule atakaekasirika, ni suala la Muda ila ujumbe utakuwa umeshamfikia
 
Back
Top Bottom