Red Scorpion JF-Expert Member Joined Feb 1, 2012 Posts 5,736 Reaction score 4,252 Nov 12, 2017 #1 Hivi hawa wadada Ambao hawana pete kwenye vidole vyao lakin wameweka puani ndo tuseme wanavuta harufu ya ndoa au?????* *Mimi nauliza tu..*[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Hivi hawa wadada Ambao hawana pete kwenye vidole vyao lakin wameweka puani ndo tuseme wanavuta harufu ya ndoa au?????* *Mimi nauliza tu..*[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Mkuu wa Kibiti JF-Expert Member Joined Sep 7, 2017 Posts 776 Reaction score 1,136 Nov 13, 2017 #2 Itakuwa ndoa imegeuka upepo hivyo wanaivuta kwa nguvu