TakrimaRushwa ni nini?
Uchaguzi haunaga rushwa!Takrima
PweintiTuache Kila kitu kijisumbukie. Hakuna mkusanyiko wowote wakisiasa usio husisha rushwa au upigaji.
Nchi kwanzaChama cha Mapinduzi kimetangaza Tarehe 7 na 8 Disemba ni Mkutano Mkuu wa Taifa wa ambao utakuwa na jukumu la kuwachagua viongozi wapya ngazi ya Taifa suala la rushwa limeonekana kuitia doa CCM.
Tayari malalamiko yameanza kutolewa kwa baadhi ya wagombea kudaiwa kutoa hadi milioni 5 kwa kila mjumbe ili wachaguliwe kwenye nafasi za uongozi zitakazopigiwa kura na Mkutano Mkuu.
Kama madai hayo ni ya kweli nini hatma ya CCM kupata viongozi wazuri watakoweza kuisimamia Serikali ili itekeleze majukumu yake kwa wananchi.
CCM ikiyumba, nchi yetu itayumba!
Viongozi gani wanachaguliwa upya?Chama cha Mapinduzi kimetangaza Tarehe 7 na 8 Disemba ni Mkutano Mkuu wa Taifa wa ambao utakuwa na jukumu la kuwachagua viongozi wapya ngazi ya Taifa suala la rushwa limeonekana kuitia doa CCM.
Tayari malalamiko yameanza kutolewa kwa baadhi ya wagombea kudaiwa kutoa hadi milioni 5 kwa kila mjumbe ili wachaguliwe kwenye nafasi za uongozi zitakazopigiwa kura na Mkutano Mkuu.
Kama madai hayo ni ya kweli nini hatma ya CCM kupata viongozi wazuri watakoweza kuisimamia Serikali ili itekeleze majukumu yake kwa wananchi.
CCM ikiyumba, nchi yetu itayumba!
Na wewe uliwe tu hakuna jinsi nyingine umeletwa duniani kwa ajili ya kutafunwaAcha wale kwa urefu wa kamba zao
Umesahau kuweka namba za simu dogoAcha uongo wako hapa na kuleta ngonjera zako hapa zisizo na ushahidi. Usitake kukichafua chama chetu
Chama cha Mapinduzi kimetangaza Tarehe 7 na 8 Disemba ni Mkutano Mkuu wa Taifa wa ambao utakuwa na jukumu la kuwachagua viongozi wapya ngazi ya Taifa suala la rushwa limeonekana kuitia doa CCM.
Tayari malalamiko yameanza kutolewa kwa baadhi ya wagombea kudaiwa kutoa hadi milioni 5 kwa kila mjumbe ili wachaguliwe kwenye nafasi za uongozi zitakazopigiwa kura na Mkutano Mkuu.
Kama madai hayo ni ya kweli nini hatma ya CCM kupata viongozi wazuri watakoweza kuisimamia Serikali ili itekeleze majukumu yake kwa wananchi.
CCM ikiyumba, nchi yetu itayumba!
Kama na wewe ni mgombea tafuta million 5 utoe , vinginevyo sisi tunalia na umeme Hayo ya uchaguzi ni ya kwenu
Rushwa ni nini?