marcoveratti
JF-Expert Member
- Sep 21, 2017
- 1,019
- 1,824
Any updates mkuu had mda huuNiko Nyamagana timu zote ziko uwanjani wachezaji wanafanya warm up uwanja umejaa mashabiki,, hakuna dalili za mechi kuanza
mechi imeahirishwa mkuuAny updates mkuu had mda huu
Pamoja na timu yangu simba kufanya ila kwa namna ya uendeshaji wa mpira hapa nchini msimu ujao nahamia Ulaya Mazima.mechi imeahirishwa mkuu
wametangaza mechi itachezwa kesho na hakutakuwa na kiingilio,,Duuh Polen Sana Sana vipi walioingia PESA zao itakuwaje. Hawajatoa sababu mkuu
Ndo tutegemee soccer [emoji460] letu kusonga mbele kwa mtindo huu!!Mungu anawaona.
AZAM TV hana udhamini pale hii ni kweli lakini nyuma ya pazia kuna madudu yalitegemewa hasa upande wa officiating Referees ndio maana Pamba wanataka mechi isiwe live.
Wakati wa WORM-UP Kagera waligomea kuingia changing room huku Pamba waking'ang'ania waingie cha ajabu na kweli First Aider aliyeingia kuchukua bench aliishia nguvu na kutapika muda mfupi baada ya kutoka imagine akiwa bado na bench lake mkononi.
Mpira wa Tanzania.
1Mungu anawaona.

Mkuu si uende uwanjani, kwa nini unataka Azam TV wakuonyeshee mechi? Kwa nini isiwe TBC Taifa? Kwa nini isiwe Star TV? Unaambiwa kuna sababu za kibiashara wewe unakomaa tu kuwa ni hujuma, mtajifunza biashara za mikataba lini kama si kupitia kudadisi vitu kama hivi?Mbinu za Simba 100%, ila Mungu anawaona aisee
Wana mipango kambambe ya kuishusha Kagera sugarMungu anawaona.