MGOGO27
JF-Expert Member
- Jan 5, 2016
- 459
- 218
Nina rafiki yangu anaitwa............mpenzi wake ana ujauzito sasa tangu awe hivyo harufu yake imekuwa mbaya zaidi ya kawaida.
Tena wakifanya mapenzi ndo kabisa,anaomba msaada sasa mimi alinambia na sijui nimshauri nini.
Wanajamvi naomba msome huu uzi na mnisaidie tafadhali
Matusi sio mazuri ila ukweli ni mzuri.
Tena wakifanya mapenzi ndo kabisa,anaomba msaada sasa mimi alinambia na sijui nimshauri nini.
Wanajamvi naomba msome huu uzi na mnisaidie tafadhali
Matusi sio mazuri ila ukweli ni mzuri.