Nina rafiki yangu anaitwa............mpenzi wake ana ujauzito sasa tangu awe hivyo harufu yake imekuwa mbaya zaidi ya kawaida tena wakifanya mapenzi ndo kabisaa,anaomba msaada sasa mimi alinambia na sijui nimshauri nini wanajamvi naomba msome huu uzi na mnisaidie tafadhari matusi sio mazuri ila ukweli ni mzuri
Hahaaaaa nimelipenda hlo swalHaraufu ya wapi? Mdomo, kwapa, mwili, nyuchi, makalio, kichwa au nini?
Tukusaidie wewe ama huyo aliekuomba ushauri? Anyway mvumilie tu ni kipindi cha mpito akijifungua atarudi katika hali yake ya manukato![/QUOT