Haruna Moshi aaaaaaaagryyyy ujinga mtupu

nitonye

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2011
Posts
7,342
Reaction score
3,885
Nashindwa kuelewa ni kwa nini wasanii wetu pamoja na wachezaji wetu wa mpira pindi waulizwapo maswali hujibu pumba tu?
 
hana marafiki wa karibu wanaojua jinsi ya kuongea na watu mbalimbali,then muda mwingi kuwa vijiweni,kushindwa kuiga wachezaji wenzao jinsi wanavyo jibu maswali kwa waandishi wa habari,kuvuta bangi,poa bro.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…