Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini watanzania mna roho mbaya ya kuombeana mabaya?Hahahahahahaha ilikuwa zamani, lakini sasa
Biashara imeshaisha hapo. Kama ni muda basi ni saa 12 jioni.
Nakataa. Huyu si Haruna Moshi Boban!amechoka
Sheikh amri Abedi A town wanavuta bangi.![]()
mwenye kofia ni Nurdin Bakari
Naona kuna jamaa hapo anaandaa chakula ili kiliwe![]()
mwenye kofia ni Nurdin Bakari
Ile timu ya U23 walicheza na Kaseja Juma, daaah kweli no situation is permanent.Naona kuna jamaa hapo anaandaa chakula ili kiliwe
2014 nilimuona Tabora daa nurdin alikuwa kaisha kwa kayaaa ....nilisikia Rhino walimpa mkataba ila nidhamu ikawa ndogo![]()
mwenye kofia ni Nurdin Bakari
Baba Sandra![]()
mwenye kofia ni Nurdin Bakari
Sio kweiBoban ataijutia ile nafasi aliyopata Swiden maisha yake yote..
Ukweli upi?,hakuwa na nafasi ya kuwika kule?Sio kwei