hata mafuta alikua akijaziwa BURE OILCOM sijui kwa sasaBoban mmoja kati ya viungo hodari kutokea hapa bongo
Mpaka yule mwarabu wa oilcom Islam alimpatia gari la thamani kubwa Haruna moshi ,gari alilokuwa anatembelea Islam ndio alimnunulia Boban ..mpaka Islam akajiita Boban sababu ya Haruna moshi.Haruna moshi akienda uwanja wa muhimbili anapewa 20,000+ kwa siku anakuwa staff ,wakati wachezaji wenzie wakienda muhimbili huambulia pesa chache jinsi Haruna moshi alivyokuwa anakubalika
[emoji115] Boban akichanganya kiroba
[emoji23] [emoji115] Boban na Chuji wana,wahuni
Unanifurahishaga sana mkuu ni simple and clearNothing will last for ever.....
Boban atabaki kuwa Boban, balloteli anaigiza utukutu.. Nitamuheshimu huyu kiungo bora kabisa wa miaka ya karibuni..Haruna Moshi Boban...moja kati ya viungo bora kabisa kuwahi kutokea katika soka la Tanzania, na bahati nzuri nimemshuhudia mwenyewe kwa macho yangu.
Alikosa menejimenti nzuri akaishia kujifanya Balotelli wa Bongo.
Ngoja picha ifunguke kwanza, nitrudi
Mkuu tunaweza kuwa na the same experience. Namkumbuka Boban wa Moro United, then Simba na Stars ya Maximo! Aliujua Mpira. Mpira ukamjua Boban.Haruna Moshi Boban...moja kati ya viungo bora kabisa kuwahi kutokea katika soka la Tanzania, na bahati nzuri nimemshuhudia mwenyewe kwa macho yangu.
Alikosa menejimenti nzuri akaishia kujifanya Balotelli wa Bongo.