Pung'o boy
JF-Expert Member
- Aug 1, 2013
- 685
- 305
Labda iniesta wa bunjuYani hapa navyosoma wadau mnavyojaribu kuelezea sifa za huyu fundi hadi yanataka kutokaa.. Yani huyuu mtu touchez zake nataka kuzifananaisha na kina iniesta, ila alikosa nidhamu kama aliyo nayo samatta
Mbingu na ardhi.. Japo nilikua navutiwa na tabia zakeWadau vipi kuhusu salum telela????