Haruna moshi bobani....

Haruna moshi bobani....

smh

Senior Member
Joined
Mar 20, 2018
Posts
133
Reaction score
105
Haruna moshi bobani ndani ,wanayanga tujiliwaze maana kombe letu naliona linarudi jangwani[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3].

Hivi haruna moshi bobani ana umri gani wandugu zangu wa kijiwe cha burudani apaa.
 
Alinichekesha alivyoenda Sweden majaribio na joseph kaniki. Alipigwa na pupwe kali (winter) halafu kitu cha arusha kilikuwa ngumu na ghali kupatikana akaamua kurudi bongo kwa hiari
3.JPG
 
James milner aliachwa na pep akawa huru sababu mzee, klopp akamchukua watu wakamshangaa Leo hii ndio kapteni msaidizi na moja ya viungo Bora sana pale Anfield.
hata kama ni mfano wa umri kumfananisha james milner na boban ni matusi makubwa sana

ni sawasawa na kufananisha bajeti ya tanzania ya Tsh trilion 30 na bajeti ya marekani ya USD trillion 4 kwa kusema zote si trillion 😂😂
 
Kwa nn mkuu embu nijuze nisichokifahamu
hata kama ni mfano wa umri kumfananisha james milner na boban ni matusi makubwa sana

ni sawasawa na kufananisha bajeti ya tanzania ya Tsh trilion 60 na bajeti ya marekani ya USD trillion 4 kwa kusema zote si trillion [emoji23][emoji23]
 
Bajeti ya tanzania ni trilion 30 sio 60!!
 
Back
Top Bottom