Kwa kituko hiki simuungi mkono ZaheraHaruna moshi bobani ndani ,wanayanga tujiliwaze maana kombe letu naliona linarudi jangwani[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3].
Hivi haruna moshi bobani ana umri gani wandugu zangu wa kijiwe cha burudani apaa.
Yaani ase,je ana umri gani ndg bobaniKwa kituko hiki simuungi mkono Zahera
Naona tuandae boma la kulelea wazee ndgmiaka ka ya ngasa banaaaa
Mashabiki Wa yanga mi sijui nawaonajege Yan daaah! Ivi ulianzaje kuipenda yanga kaaaahTusubiri tuone huenda akatufanyia kitu. Umri ni namba tu.
Huu ni zaidi ya uchokozi. Unatuonaje kwani? Nilianza anza tu.Mashabiki Wa yanga mi sijui nawaonajege Yan daaah! Ivi ulianzaje kuipenda yanga kaaaah
[emoji23][emoji23][emoji23] sina maneno yakujitosheleza..Huu ni zaidi ya uchokozi. Unatuonaje kwani? Nilianza anza tu.
hata kama ni mfano wa umri kumfananisha james milner na boban ni matusi makubwa sanaJames milner aliachwa na pep akawa huru sababu mzee, klopp akamchukua watu wakamshangaa Leo hii ndio kapteni msaidizi na moja ya viungo Bora sana pale Anfield.
hata kama ni mfano wa umri kumfananisha james milner na boban ni matusi makubwa sana
ni sawasawa na kufananisha bajeti ya tanzania ya Tsh trilion 60 na bajeti ya marekani ya USD trillion 4 kwa kusema zote si trillion [emoji23][emoji23]
Bajeti ya tanzania ni trilion 30 sio 60!!hata kama ni mfano wa umri kumfananisha james milner na boban ni matusi makubwa sana
ni sawasawa na kufananisha bajeti ya tanzania ya Tsh trilion 60 na bajeti ya marekani ya USD trillion 4 kwa kusema zote si trillion [emoji23][emoji23]
ulikuwa ni mfano wa neno trillion tu mkuuπππBajeti ya tanzania ni trilion 30 sio 60!!