Kama sio Mibange ilitakiwa Boban Na Chuji wampokee Samata Kule Ulaya
Kagere ana miaka 26, Okwi 25.Tujifunze uzalendo jamani...
Kwani kagere na okwi wana miaka mingapi???
πππ hamia yanga basi. π[emoji23][emoji23][emoji23] sina maneno yakujitosheleza..
Lakini sura zao sasa nikiwekwa nao mie lazima niambiwe niwape shikamoo yaani siwapati hata kidogo.Kagere ana miaka 26, Okwi 25.
Hahah makinda hao kwa mujibu wa Haji Manara.Lakini sura zao sasa nikiwekwa nao mie lazima niambiwe niwape shikamoo yaani siwapati hata kidogo.
[emoji12][emoji12][emoji12][emoji3][emoji3][emoji3] hamia yanga basi. [emoji85]
Hahaha...Okwi 25.....Africa hatari sana....Kagere ana miaka 26, Okwi 25.
Haruna moshi bobani ndani ,wanayanga tujiliwaze maana kombe letu naliona linarudi jangwani[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3].
Hivi haruna moshi bobani ana umri gani wandugu zangu wa kijiwe cha burudani apaa.
Haruna moshi bobani ndani ,wanayanga tujiliwaze maana kombe letu naliona linarudi jangwani[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3].
Hivi haruna moshi bobani ana umri gani wandugu zangu wa kijiwe cha burudani apaa.
ππhata kama ni mfano wa umri kumfananisha james milner na boban ni matusi makubwa sana
ni sawasawa na kufananisha bajeti ya tanzania ya Tsh trilion 30 na bajeti ya marekani ya USD trillion 4 kwa kusema zote si trillion ππ
Hahahaaaa. Kazi ipo.Hahah makinda hao kwa mujibu wa Haji Manara.
πππ[emoji12][emoji12][emoji12]