The Genius
JF-Expert Member
- May 29, 2018
- 822
- 2,095
Huyu nae inaonekana kwao ni shida tupu Yanga ilimtema Simba ikamwokota mayo ikamtema,leo karudi huku anajua kuna wachezaji wanakimbia mishahara hawajalipwa,Kocha zahera anadai yeye nae anajichomekaMtamlipa nn?.....Au mtampa maji na msosi tu...
Mbona kama watu wa Bunju mmemaindi hivi Haruna kurudi kwao? Kwenu ni kwenu ndugu hata kama kuna shida! Mwacheni Fundi awatumikie wananchi!Huyu nae inaonekana kwao ni shida tupu Yanga ilimtema Simba ikamwokota mayo ikamtema,leo karudi huku anajua kuna wachezaji wanakimbia mishahara hawajalipwa,Kocha zahera anadai yeye nae anajichomeka
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha, mpira wa Tanzania bana ,huwa akirudi Okwi hana njaa ,utasikia anarudi kwao ,ila huyu ana njaaHuyu nae inaonekana kwao ni shida tupu Yanga ilimtema Simba ikamwokota mayo ikamtema,leo karudi huku anajua kuna wachezaji wanakimbia mishahara hawajalipwa,Kocha zahera anadai yeye nae anajichomeka
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu nae inaonekana kwao ni shida tupu Yanga ilimtema Simba ikamwokota mayo ikamtema,leo karudi huku anajua kuna wachezaji wanakimbia mishahara hawajalipwa,Kocha zahera anadai yeye nae anajichomeka
Sent using Jamii Forums mobile app
Siyo kazi yakoMtamlipa nn?.....Au mtampa maji na msosi tu...
Mbumbumbu wasikusumbue mkuuHahahaha, mpira wa Tanzania bana ,huwa akirudi Okwi hana njaa ,utasikia anarudi kwao ,ila huyu ana njaa
MTC | 101| [emoji769]
Okwi karudi mara ngapi kwenu,na soon atarudi tenaHuyu nae inaonekana kwao ni shida tupu Yanga ilimtema Simba ikamwokota mayo ikamtema,leo karudi huku anajua kuna wachezaji wanakimbia mishahara hawajalipwa,Kocha zahera anadai yeye nae anajichomeka
Sent using Jamii Forums mobile app
Watamtaftia Shangingi la Kisomali kama walivyomfanyia Okwi akajikuta hata akienda Ulaya akili zinabaki mtaa wa TwigaMtamlipa nn?.....Au mtampa maji na msosi tu...
Bali ni haki yangu kujuaSiyo kazi yako
Okwi akitoka Simba haendi Uganda anaenda vilabu vikubwa zaidi ya simba,haruna anaenda Kigali kilabu daraja la piliHahahaha, mpira wa Tanzania bana ,huwa akirudi Okwi hana njaa ,utasikia anarudi kwao ,ila huyu ana njaa
MTC | 101| [emoji769]
Hahahaha, nasikia na uchebe PA kaonekana kwa ofc za Gharib GSM ,ni kweli?Okwi akitoka Simba haendi Uganda anaenda vilabu vikubwa zaidi ya simba,haruna anaenda Kigali kilabu daraja la pili
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh[emoji23][emoji23][emoji23]Mtamlipa nn?.....Au mtampa maji na msosi tu...