Yap,Yanga kwanza mchezaji baadae.
Hamna Lolote Ngojeni MTUNGULIWE Na Stand United Kesho au Mtoke Nao SARE Uone Kama Jumatatu Tu Hamkumfungulia Kwani Kuna Mechi Ngumu Zinakuja Wiki Ijayo. Kwa Tunaojua Mpira Wa Kibongobongo Yanga Haina UBAVU Kwa Haruna Fadhil Hakizimana Niyonzima Kwani Yeye Ndiyo ROHO Ya Yanga Na Anawafanya ATAKAVYO!
ivi kumbe bado kuna mpira tanzania