M24 Headquarters-Kigali
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 8,199
- 8,186
Pongezi maharusi wetuTunawapongeza kwa hatua hii njema. Hakika ninyi ni mfano mzuri kwa wengine.
Kabila gani?Pongezi maharusi wetu
hahaaaaNani hawa? Mbona bwana harusi ni kama ndiye anayeolewa hapo?
Ana hurumaIla kwa jicho la ndani jamaa kapata mke though appearance sometimes cheats ila huyo mwanamke anaonekana mtu sana