Harusi hiyoo, harusi hiyooo harusi imeshatimiaaa....!!!!

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,128
Reaction score
21,885
Jamani kuoa raha, kuolewa ni furahaa harusi imeshatimiaaa........
Congrats nyingi kwa ndugu yangu nanyupu kwa maana kwa taarifa za kiintelejensia nilizozipata ni kwamba umefanikiwa kupenya ngome na kwenda kutoa posa kwa kina mbitiyaza ili uweze kuchukua jiko jumla jumla. Lakini namini kufa kwa imamu si mwisho wa ibada, ngoja sasa nitumie mbinu za kijasusi na za weledi wa hali y juu kuhakikisha swala hili halifanikiwi. Pole sana kwa kutojua kwamba baadhi ya unaowaita mashemeji zako wanaplay kama double agents na wamekua watu muhimu sana kuweza kunipa vital information mbali² kuhusu wewe na mbitiyaza na kama unavyojua in my line of work, information is an expensive commodity hivyo baas tegemea surprise flan amazing punde si punde

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…