Harusi iliyokosa chakula,kweli mmetuweza

Pameanza kuchangamka!
 
Tubadiri ndio nini
 
Usitukaripie uzi mmoja unatosha sio kurudia rudia kama unafundisha Alphabet watoto.
 
Mi napenda kujifunza kuchora (fine arts),nipe mwongozo mkuu
 
Mhm kazi zimejaa tele sioni kama ni za kutafuta labda mtu achague kazi🤔
NAFASI ZA KAZI MPYA ZA SHOP.

Natoa nafasi za kazi kwa vijana wajinsia zote waliopo Dar Es salaam na mikoani umuri miaka 18 nakuendelea Elimu Darasa la 7 Mpaka chuo mshahara laki 400000.chakula gharama za ofisi sehemu Yakuishi kuna nyumba Ya wafanya kazi kuhusu usafiri waliopo mkoani watakatiwa ticket ukiwa Tayr umekamilisha usajiri.

KAZI ZILIZOPO SHOP.
1.Supemarket
2.Duka la nguo
3.Duka la viatu
4.Duka la urembo

Location
Dar Es salaam sinza Mori karbu na bari city na mlimani city.

Sasa wenye huitaji na fursa hii nicheki mapema uchukue form ya maombi Ya kazi .

Pia atakae share Hii picha na kupost kwenye,page yake nitampa zawad ya voch 10000 nawapenda sana mashabiki zangu wote
 
We sio tapeli kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…