Harusi ina umuhimu ?


hahahahaha Mkuu Mwiba unanivunja mbavu kweli..mi nimezungumzia katika muktadha wa dini, hususan ya kiislam, ambayo kwa jinsi ninavojua mahari ni haki ya mwanamke anayeoa, kwa hiyo akisema anataka 20,000, basi hakuna zaidi na hailzaimishwi, kwa hiyo we pangana na mchumbako!

Hayo ya fenicha na nini kwani huyo binti ndo ameshakuwa mtaji wa wao kupata fenicha, hivi ufisadi si ni pamoja na huu mkuu!

Njoo bara huku, kuna makabila wanaoza, wala huhitaji kutoa mahari maana wao wameshatajirika tangu zamani!
 
Mwiba hataki sherehe kwa kuwa huyo ni mke wa pili ama wa tatu, hivyo anaogopa kufanya sherehe ili asiwakere wale wake zake wa mwanzo.

Kwa ushauri tu mtafute mjane, hapo unaweza kuoa pasipo mambo ya sherehe... Lakini kwa huyo mwali sio rahisi bila sherehe!
 

Na ndio huo mtihani nimepata yule mwali amekubali kuachana na kusoma ,na ndio nipo katika kutayalisha na kutafuta mipango ya kuvuka harusi ya sherehe, mi nilimwambia wahi kuolewa siku hizi kupata mtu akakuoa ni mtihani peke yake na kweli hata wazazi wake waliliona hilo ,waliinisabia kama nyumba ishilini hivi zina wasichana wameshaanza kupevuka na wengine iliwahi kutokea bahati ya kuchumbiwa ila waliwarudisha warume ,na sasa wamebaki na majuto ,mi nawambia labda serikali iliyowawekea kizingiti iwatafutie.Ila kwa sasa mwanamwali akijidai nyodo tu atavunda na kupevuka. Ata muhogo ukipevuka akuna anae utaka na wengine utasikia wakipiga makelele kuwa nyama ngumu kwa maana kuku limeshapea inabidi ulitafutie magadi ili kulilainisha ,hata hivyo bado walaji wataponda ,ukiangalia sana hata wale wazazi wanatafutiwa kuku wachanga wachanga. natumai uminielewa 😀
 
wewe mbona unacomplicate mambo
kikao cha harusi kinahitaji ukumbi
sebuleni tuu nyumbani inatosha
kwa nini watu wanye bia tano, bia moja tu inatosha
tatizo watu wanageuza vikao kuwa mahali pa ku socialize
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…