Harusi na vimbwanga vyake

mwanaMtata

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2014
Posts
2,393
Reaction score
1,433
Harusi ni sherehe moja mhimu hasa ukizingatia kumbukumbu inayoachwa kati ya wapenzi hao wawili. Harusi inapogeuka kituko basi ikumbukwe kua hilo pia haitasahaulika maishani mwako na pengine wale wa karibu yako.
Tazama hapa harusi hizi na nikukumbushe tu usialike watu wa sampuli hii kwenye harusi yako.
 
Hahahahahaha...!!! Huyo mkuu aliyeweka kijiko mfukoni na aliyefika juice ya azam mfukoni wametisha sn.
 
Nyie mtualike tu kwenye hio harusi tuje tueke umw mfukoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…