Harusi: Usiku wa Ali na Abdu Kiba

Harusi: Usiku wa Ali na Abdu Kiba

venine

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2010
Posts
1,458
Reaction score
1,569
Leo ndio ule usiku tuliokuwa tukiusubiria sisi mashabiki wa muziki mzuri.
Maharusi washaingia ukumbini, kwa sasa First Lady Mstaafu, Bi Salma anawapa vijana mawaidha.
Kuna watu maarufu wengi wamehudhuria kutoka Tanzania na Kenya pia.
Tuwatakie maisha mema vijana hawa
Screenshot_20180429-203942.jpg
Screenshot_20180429-200838.jpg
Screenshot_20180429-205407.jpg
Screenshot_20180429-204552.jpg
Screenshot_20180429-202957.jpg
Screenshot_20180429-202524.jpg
 
sipendagi unafiki aisee mimi, hapo amevaa kama kazaliwa maka, harusi ikiisha anaanza kutuletea miziki ya wavaa uchi, wakati leo hadi anavyoongea mdomo kauzungurusha aongee kiarabuarabu aonekana mwenye dini. hivi mziki wake huo na wa diamond dini yake inaruhusu? mashekhe njooni hapa mtueleze.
 
Hao wa maka wakizaliwa wanavaaje mkuu..?
 
Nasubiri kwa hamu burudani kutoka kwa Bella, Dimpoz, Bill nas na Ali Kiba mwenyewe kasema ana surprise
 
Baadhi ya wageni, Okwi na FA.
Screenshot_20180429-214511.jpg
Screenshot_20180429-214705.jpg
 
sipendagi unafiki aisee mimi, hapo amevaa kama kazaliwa maka, harusi ikiisha anaanza kutuletea miziki ya wavaa uchi, wakati leo hadi anavyoongea mdomo kauzungurusha aongee kiarabuarabu aonekana mwenye dini. hivi mziki wake huo na wa diamond dini yake inaruhusu? mashekhe njooni hapa mtueleze.

Miziki yao yote ni haramu tupu.
 
sipendagi unafiki aisee mimi, hapo amevaa kama kazaliwa maka, harusi ikiisha anaanza kutuletea miziki ya wavaa uchi, wakati leo hadi anavyoongea mdomo kauzungurusha aongee kiarabuarabu aonekana mwenye dini. hivi mziki wake huo na wa diamond dini yake inaruhusu? mashekhe njooni hapa mtueleze.
Kuna aya inayosema moja kwa moja mziki ni haramu
 
Back
Top Bottom