Yes ipo live channel ya sinema zetu-azamVp na leo wapo live?
Hao wa maka wakizaliwa wanavaaje mkuu..?sipendagi unafiki aisee mimi, hapo amevaa kama kazaliwa maka, harusi ikiisha anaanza kutuletea miziki ya wavaa uchi, wakati leo hadi anavyoongea mdomo kauzungurusha aongee kiarabuarabu aonekana mwenye dini. hivi mziki wake huo na wa diamond dini yake inaruhusu? mashekhe njooni hapa mtueleze.
sipendagi unafiki aisee mimi, hapo amevaa kama kazaliwa maka, harusi ikiisha anaanza kutuletea miziki ya wavaa uchi, wakati leo hadi anavyoongea mdomo kauzungurusha aongee kiarabuarabu aonekana mwenye dini. hivi mziki wake huo na wa diamond dini yake inaruhusu? mashekhe njooni hapa mtueleze.
Kuna aya inayosema moja kwa moja mziki ni haramusipendagi unafiki aisee mimi, hapo amevaa kama kazaliwa maka, harusi ikiisha anaanza kutuletea miziki ya wavaa uchi, wakati leo hadi anavyoongea mdomo kauzungurusha aongee kiarabuarabu aonekana mwenye dini. hivi mziki wake huo na wa diamond dini yake inaruhusu? mashekhe njooni hapa mtueleze.