Harusi ya Asha Ngedere Live..

hii kali. lakini ingekuwa vizuri ungeiweka kwenye jamvi la ma'foto mkuu.
 
bomba hii...wangeshika na REDIO KASETI ingekuwa tamu ajabu!
 
Kwiiiiiii,Kwiiiiiiiiiiiiii,Kwikwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!
 
Bila shaka huyo mumewe ni Mr.Chiwawa, hongera zao.
 
Haaaaa !!!!!!!!!!!! Haaaaaaa!!!!!!!!!! Kwikwiiiiiiiiiiiiii!!!!!!!!!!!!!!!!! ni noma mkuu
 
Kiranja mkuu umerudia hili bandiko! Lilishatolewaga humu jamvini! Ila sikumbuki ni bandiko gani (linki ya bandiko sikumbuki)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…