Harusi ya Aziz Ki imefanyiwa Ubaya Ubwela

SAYVILLE

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2010
Posts
7,895
Reaction score
12,975
Kuna watu kule utopoloni wanaodhani wana akili kuliko watu wengine walipanga harusi ya Aziz Ki iende kufunika droo ya robo fainali ya CAF. Harusi ikajaa media za youtube ili tu kutafuta trend.

Wazee wa Ubaya Ubwela wakasema aha kumbe tunaenda hivi? Kuna tukio likatokea huko Makanjiro sijui au ni Narungombe ndani ndani huko limekuja kufunika story ya harusi nzima. Wale waliodhani wana akili wamesusa kabisa kuliongelea suala la Ateba maana wanajua watakuwa wanazidi kulitrendisha na kufunika harusi yao waliyoitolea machozi, jasho na damu.

Tukiwaambia huu ni mwaka wa Ubaya Ubwela hamuelewi. This is Simba blaza.
 
Watu kule utopoloni wanaodhani wana akili kuliko watu wengine walipanga harusi ya Aziz Ki iende kufunika droo ya robo fainali ya CAF. Harusi ikajaa media za youtube ili tu kutafuta trend.

Ile video yao niliyoiona ilinishangaza sana...yani huyo privaa katuliaa kuna tabia akizifanya mwanaume haipendezi...
Nini tena!!!
 
Watu kule utopoloni wanaodhani wana akili kuliko watu wengine walipanga harusi ya Aziz Ki iende kufunika droo ya robo fainali ya CAF. Harusi ikajaa media za youtube ili tu kutafuta trend.

Wazee wa Ubaya Ubwela wakasema aha kumbe tunaenda hivi? Kuna tukio likatokea huko Makanjiro sijui au ni Narungombe ndani ndani huko limekuja kufunika story ya harusi nzima. Wale waliodhani wana akili wamesusa kabisa kuliongelea suala la Ateba maana wanajua watakuwa wanazidi kulitrendisha na kufunika harusi yao waliyoitolea machozi, jasho na damu.

Tukiwaambia huu ni mwaka wa Ubaya Ubwela hamuelewi. This is Simba blaza.
Kila la kheri Mkuu 😂😂
 
Back
Top Bottom