Rushaa ni nyingi mnoo mpaka aibu...Kuna clips nikikurushia za hiyo harusi zinaweza kusapoti kauli yako kuwa kweli wanaume tumebaki wachache mnooo.
EetiRushaa ni nyingi mnoo mpaka aibu...
Wewe huwezi kuwa kwenye kundi la wanaumeKuna clips nikikurushia za hiyo harusi zinaweza kusapoti kauli yako kuwa kweli wanaume tumebaki wachache mnooo.
Ile video yao niliyoiona ilinishangaza sana...yani huyo privaa katuliaa kuna tabia akizifanya mwanaume haipendezi...Tumekaa kimya wanadhani hatuyajui. Kwanza Priva na Pacome wana ukaribu mnoo 🤣😂🤣
Usimchagulie mtu silaha...anatoka na yoyoteWewe huwezi kuwa kwenye kundi la wanaume
Ili ukija mrembo kama wewe na Domo lako la umbea tukuzalisheWewe unapenda kuwa kwenye kundi la wanaume ili wakufanyeje?
Mwaga mpunga Bana...kuku tuna njaaIle video yao niliyoiona ilinishangaza sana...yani huyo privaa katuliaa kuna tabia akizifanya mwanaume haipendezi...
Watu kule utopoloni wanaodhani wana akili kuliko watu wengine walipanga harusi ya Aziz Ki iende kufunika droo ya robo fainali ya CAF. Harusi ikajaa media za youtube ili tu kutafuta trend.
Wazee wa Ubaya Ubwela wakasema aha kumbe tunaenda hivi? Kuna tukio likatokea huko Makanjiro sijui au ni Narungombe ndani ndani huko limekuja kufunika story ya harusi nzima. Wale waliodhani wana akili wamesusa kabisa kuliongelea suala la Ateba maana wanajua watakuwa wanazidi kulitrendisha na kufunika harusi yao waliyoitolea machozi, jasho na damu.
Tukiwaambia huu ni mwaka wa Ubaya Ubwela hamuelewi. This is Simba blaza.
Nini tena!!!Ile video yao niliyoiona ilinishangaza sana...yani huyo privaa katuliaa kuna tabia akizifanya mwanaume haipendezi...
Kila la kheri Mkuu 😂😂Watu kule utopoloni wanaodhani wana akili kuliko watu wengine walipanga harusi ya Aziz Ki iende kufunika droo ya robo fainali ya CAF. Harusi ikajaa media za youtube ili tu kutafuta trend.
Wazee wa Ubaya Ubwela wakasema aha kumbe tunaenda hivi? Kuna tukio likatokea huko Makanjiro sijui au ni Narungombe ndani ndani huko limekuja kufunika story ya harusi nzima. Wale waliodhani wana akili wamesusa kabisa kuliongelea suala la Ateba maana wanajua watakuwa wanazidi kulitrendisha na kufunika harusi yao waliyoitolea machozi, jasho na damu.
Tukiwaambia huu ni mwaka wa Ubaya Ubwela hamuelewi. This is Simba blaza.
Ndo umamani huoSi mnapenda kutrend, ngoja tuwapeleke mjini