Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajua sana FASIHI😂😂😂😂
Hater!
Eclat? mbona nasikia mlio wa ngoma na maneno yasiyo eleweka? hivyo visauti vya kuimba wanaume siyo kabisa! inaboa bana, umeipendea nini hii? hkn hata Sebene? Duuuuuuu!Kubbra Hooda,
Lavie ameitendea haki Sanaa.
Baba Diamond sikuhizi anafaa high table na mtoto wake the Big Star hata miguu haimaumbui tena.Eclat? mbona nasikia mlio wa ngoma na maneno yasiyo eleweka? hivyo visauti vya kuimba wanaume siyo kabisa! inaboa bana, umeipendea nini hii? hkn hata Sebene? Duuuuuuu!
Diamond na huyo dada sijui nani yake hawajiamini, pamoja na umaarufu woote huo? kwa sababu wanatafunya BG! dalili kubwa ya kuto jiamini, ili kupotezea hofu!, watu maarufu gani hawajajifunza namna ya ku-behave kwenye audience?
Yes! Baba Diamond anajiamini sana! kwa pause zake big up huyu mzee!