Harusi ya Haji Manara

Yule mkubwa aliepeleka pete ni dadake
 
Baada ya mume kuongeza mke naona ndoa iliyumbaa
Wanawake wengi wa kiislamu wanapinga uke wenza lakini huyu sister mwanzo alionyesha kumuunga mkono mumewe kuongeza mke, pengine labda alisema vile ndo haya maisha ya kuigiza ya kwenye social media au kuna sababu nyingine iliyosababisha ndoa kuyumba.
 
Huyu bwana huwa namuonaga kama ana’utoto’ mwingi. Nahisi hata huyo dada akikua kidogo tu, atajionea shida kukaa kwenye utoto wa kiasi hicho. Atakimbia tu kama mwenzie, sema kwa sasa bado nae hajakua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…