nilioona ile anayoishi wakati anafunga ndoa sijui kama mpaka sasa yupo hapo...ya kawaida sana tena sana...
Edson hata wewe jamani, Loh.
unamuongelea mama rutashobya?? harusi ya binti yake?? au harusi ya yule kijana wake anayekaa US? kijana bado yupo kwenye ndoa, ila binti alidivorce kitamboooooooo!!!
ndio upuuzi wa ngozi nyeusi, Harusi millioni 62 halafu nyumba ya kupanga, wakati millioni 20 unafanya harusi nzuri kabisa.
Ni upuuzi na ukosefu wa akili tu kutamba kwa upuuzi kama huo halafu unafukuzia rushwa za millioni 10. shwain zake.
milioni ishirini harusi tu? acheni ujinga!!! mm sijaoa kwa harusi kubwa,,,siku ya kufunga ndoa nilienda chachi kama kawa kisha baada ya hapo tukafanya ka-family party ambacha hakakugharimu hata M1..Mpaka sasa niko na mke wangu peacefully..nina nyumba ya kuishi maeneo ya NJIRO kwa msola na gari ya kutembelea,,sijawahi kulosti kiasi cha kukosa namna ya kuishi..ila jamaa zangu waliofunga harusi za kifahari wengi huwa nakutana nao mjini ni choka mbaya ingawa sio wote..kuna mmoja hata leo kanipiga mzinga wa buku kumi! na ni juzi tu alifanya harusi ya m18 acheni sifa jamani..TZ ni nchi maskini sana,,,kama hatuna pa kuzipeleka hizo hela tuchangie M4C..binafsi huwa sichangiagi harusi.ndio upuuzi wa ngozi nyeusi, Harusi millioni 62 halafu nyumba ya kupanga, wakati millioni 20 unafanya harusi nzuri kabisa.
Ni upuuzi na ukosefu wa akili tu kutamba kwa upuuzi kama huo halafu unafukuzia rushwa za millioni 10. shwain zake.
Ila bongo kwa mtu maarufu kama yeye ni kidogo sana. Kuna Dean of student UDSM-Business school aliifanya ya mwanaye mwaka jana iligharimu zaidi ya milioni 100 na bado michango mingine waliikataa
Umeisahau na ile ya Mama Muhaya Mushumbusi ya pale Mlimani City?
Alikuwa anaoza mwanae ambae alimtafutia mke baada ya watu kumsakama mwanae sio rijali?
Harusi iligharimu Milioni 258!!!,
Magari ya kusindikiza maharusi yalikuwa 20,farasi,trafiki na mengineo.
Wageni 3500!!,
na tulikula mpaka vingine tulibeba.
Kabla ya kuondoka unapewa chupa ya red wine kama asante.
Ila nasikia,nimesema nasikia,Mwanaume anakesha ma-Club kama vile hajaoa.
Halafu mnasema Tz Maskini,maskini jiambie wewe mwenyewe hapo.
sifa za kijingaumeisahau na ile ya mama muhaya mushumbusi ya pale mlimani city?
Alikuwa anaoza mwanae ambae alimtafutia mke baada ya watu kumsakama mwanae sio rijali?
Harusi iligharimu milioni 258!!!,
magari ya kusindikiza maharusi yalikuwa 20,farasi,trafiki na mengineo.
Wageni 3500!!,
na tulikula mpaka vingine tulibeba.
Kabla ya kuondoka unapewa chupa ya red wine kama asante.
Ila nasikia,nimesema nasikia,mwanaume anakesha ma-club kama vile hajaoa.
Halafu mnasema tz maskini,maskini jiambie wewe mwenyewe hapo.
Huyo mama atakuwa fisadi au namna nyingine ya kuwaibia wabongo
sifa za kijinga
tofautisha kati ya umaarufu na pesa hapa bongo,mara nyingi wabongo umaarufu wao hauendani na pesa walizonazo. Ni ujinga kufunga harusi ya milioni 62 huku unaishi nyumba ya kupanga eti kisa mwanamke shombeshombe.!!Ila bongo kwa mtu maarufu kama yeye ni kidogo sana. Kuna Dean of student UDSM-Business school aliifanya ya mwanaye mwaka jana iligharimu zaidi ya milioni 100 na bado michango mingine waliikataa
tofautisha kati ya umaarufu na pesa hapa bongo,mara nyingi wabongo umaarufu wao hauendani na pesa walizonazo. Ni ujinga kufunga harusi ya milioni 62 huku unaishi nyumba ya kupanga eti kisa mwanamke shombeshombe.!!
Jamani kaoa chotara, mwacheni eeeh. Sababu hizi na nyenginezo ndio maana nimetengwa na jamii, kadi za michango nilishazipiga marufuku.
chotara?! nadhani ni weupe wa kichaga! mbona nywele kipilipili?
milioni ishirini harusi tu? acheni ujinga!!! mm sijaoa kwa harusi kubwa,,,siku ya kufunga ndoa nilienda chachi kama kawa kisha baada ya hapo tukafanya ka-family party ambacha hakakugharimu hata M1..Mpaka sasa niko na mke wangu peacefully..nina nyumba ya kuishi maeneo ya NJIRO kwa msola na gari ya kutembelea,,sijawahi kulosti kiasi cha kukosa namna ya kuishi..