mbona million 62 kwa harusi ni pesa kidogo sana,wabongo sijui vip! kila kitu ni kulalamika ni kama vile hizo pesa mlichanga,amjui kama harusi ni kitu muhimu sana na zilikuwa toka zamani,kama uwezo unaruhusu acha watumie kama kwako auwezi tulia tu
unamuongelea mama rutashobya?? harusi ya binti yake?? au harusi ya yule kijana wake anayekaa US? kijana bado yupo kwenye ndoa, ila binti alidivorce kitamboooooooo!!!
Hiyo mipango ya mungu bwana, from what I know she is half race.
Ndo maana mkaambiwa fall for your typeKwa uzoefu wangu mdogo nilionao kuhusu wanawake machotara au wanawake weupe kupindukia, hiyo ndoa haitafika mbali, labda jamaa akubali umume *****!
ndio upuuzi wa ngozi nyeusi, Harusi millioni 62 halafu nyumba ya kupanga, wakati millioni 20 unafanya harusi nzuri kabisa.
Ni upuuzi na ukosefu wa akili tu kutamba kwa upuuzi kama huo halafu unafukuzia rushwa za millioni 10. shwain zake.
Ndo maana mkaambiwa fall for your type
and how do you define TYPE when it comes to relationships Madame X?
Cha kushangaza huyu mtangazaji alikuwa bench huku akikabiliwa na Kesi ya rushwa. Jamani source ni yeye mwenyewe anahojiwa kipindi cha Mboni Talkshow EATV[/QUOTE
Namkumbuka sana Mr Ebbo (RIP) aliwahi kuimba wimbo unaitwa SIFA ZA KIJINGA
Cacico tiririkaaaa!
mbona mnatukatisha tamaa sisi tulioko kwenye mchakato!
Hiyo mipango ya mungu bwana, from what I know she is half race.
Sasa wakichangia elimu watapata maneno ya kuikosoa serikali wapi wakati unajua, kunapokuwa hakuna vitabu, madawati vifaa vya maabara n.k. ndio wale wanapata pa kusemea kuwa serikali dhaifu. So bora watu wachangie harusi kuliko elimu maana watu wakichangia elimu then mambo yakawa shwari walimu wataridhika hivyo itasababisha wengine hasa waleeeeeeeeeeee! kukosa kula ya pale magogoni wenyewe wanapaita m4c.Wabongo bwana !! Ukiwaambia wachangie elimu utatukanwa sanaa lakini mambo ya anasa utawapata wengi tu.
Kwa uzoefu wangu mdogo nilionao kuhusu wanawake machotara au wanawake weupe kupindukia, hiyo ndoa haitafika mbali, labda jamaa akubali umume *****!