Harusi ya Jerry Muro iligharimu milioni 62, thamani ya pete Dola 1,800, Suti Taxido

yangu iligharimu Tshs mil 2.7 tunaishi raha mustarehe
 
Ila bongo kwa mtu maarufu kama yeye ni kidogo sana. Kuna Dean of student UDSM-Business school aliifanya ya mwanaye mwaka jana iligharimu zaidi ya milioni 100 na bado michango mingine waliikataa

Harusi million 100 huko ni kukufuru. Kuna watoto wa mitaani wanakufa na njaa kwa nini wasitoe misaada huko? Hata Kama ni umaarufu imepitiliza kiwango. Ni mtazamo tu
 
Naomba nielimishwe....nini faida yake baada ya hapo???niliwahi kuhudhuria harusi nzuri saana....michango yote takriban 30m ilipelekwa kwenye nyumba za watoto yatima tofauti hapa Dar.Zawadi zote pia zilitolewa kwa nyumba za watoto yatima.tulikula chakula vizuri na vinywaji baridi tu.Ilipendeza saana.
 
Jamani Mbona tunapenda kuchunguza maisha ya watu ooops Tanzania Bwana mmh

Mie hapa nahangaika siku moja niwe kama Oprah wengine mnaumiza vichwa na suti ya Jerry Muro
Poleni

We nawe!
 

Well said mkuu, hiki kitu kimemtokea hta diamond kila cku watu walikuwa wanamtukana hapa kuwa mashauz kubao wakat kapanga sinza ss matokeo yake wameumbuka baada ya kuona kumbe ana mijengo ya maana tu lakin cha ajabu badala wasifie au wakae kimya ndo kwanza wamepata sababu za kuponda tena, duh kwel sisi wabongo ni furushi la misumari hatubebeki!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…