Harusi ya mtoto wa Salim

Status
Not open for further replies.


Kama unanunua kitu cha thamani hivyo halafu hakijakupendeza faida yake nini! bora nivae kaniki inipendeze
 
Wakati watu mkiendelea kupiga kelele kuhusu pamba, ebu angalieni huyo dogo alivyokula shule. Niliangalia hii webiste kiasi fulani sikuamini kwani umri( I am just guessing, he is in mid or late 40s) na mambo aliyoyafanya haviendani !

http://www.csmc.edu/13096.html
 
on top of that, JK alijua kama anaenda kwenye sherehe ya harusi na kwa kawaida huwa wanaume wanavaa dark suit, sasa yeye kujitundika kwenye sport coat alikuwa anataka kuonekana tofauti au!! kwa sababu hata kwenye harusi ya mwanae aliva tux!
 

Impressive! Sasa una guess yuko kwenye mid or late 40s na kaoa juzi tu? Who knows labda ni ndoa yake ya pili au alikuwa busy na shule...
 
Program Director, General Surgery Residency Educational Program


Contact Information:

Ali Salim, MD, FACS is an attending physician and Program Director of the General Surgery Residency Educational Program at Cedars-Sinai Medical Center. His primary responsibilities include operating room teaching and supervision, bedside tutorials, supervision of fellow and resident research projects and mentorship.

Board certified by the American Board of Surgery, Dr. Salim is a member of the American Medical Association, American College of Surgeons, Society of Critical Care Medicine, Pacific Coast Surgical Association, Western Surgical Association, Society of Black Academic Surgeons, American Association for the Surgery of Trauma, and the Eastern Association for the Surgery of Trauma.

In addition to his clinical and teaching duties, Dr. Salim is an experienced researcher who is currently the principal investigator for a National Institutes of Health funded study on increasing organ and tissue donation in Hispanic Americans.

Dr. Salim has written numerous articles for peer-reviewed publications, including the Journal of Trauma, Archives of Surgery, Annals of Surgery, Journal of the American College of Surgeons, Injury, and American Journal of Surgery.

Dr. Salim earned a bachelors degree from Duke University, a masters degree from Columbia University, and his medical degree from the Howard University College of Medicine. He completed his general surgery internship and residency as well as his fellowship in Trauma and Surgical Critical Care at the University of Southern California Keck School of Medicine.

Duh jamaa amekula nondo na inaonyesha ni daktari wa kiwango cha juu sana hivi watu kama hawa si tunawahitaji sana pale MUHIMBILI?

Check hapa publications zake http://www.csmc.edu/13096.html
 
Lakini kitu ninachojiuliza, resume hii inatakiwa iwe ya mtu mwenye miaka 50 na kitu , kwa sababu mpaka ufike kwenye hizo rank ni lazima uwe na experience ya muda mrefu ...Hands down dogo ni kipanga.
 
Lakini kitu ninachojiuliza, resume hii inatakiwa iwe ya mtu mwenye miaka 50 na kitu , kwa sababu mpaka ufike kwenye hizo rank ni lazima uwe na experience ya muda mrefu ...Hands down dogo ni kipanga.

Kwa nini unamwita dogo? Unaujua umri wake? Au wewe ni kibabu?
 
Dogo ni tamathali ya semi tuu... don't take it literally; besides, there is nothing wrong with being a kibabu . Mind you, all of us soon or later we are going to pass that stage in our lives
 
Be careful with your langauge though coz some people may take umbrage with that...

You know what, you are getting on my nerves now;stop intimidating me ! I told you that was a tamathali ya semi ! What is wrong with you , why are you making a big deal out of nothing? Please, have a life.
 
You know what you are getting on my nerve now, stop intimidating me ! I told you that was a tamathali ya semi, !

Bruh..where is the intimidation? All I was saying was be careful with your choice words in addressing people especially the one's you don't know. You just don't call anyone "dogo"...come on now bruh....being all sensitive this morning...geeez
 
Watu wa itifaki vipi jamani mbona mnamuabisha Mh. Rais?
 

Duh kumbe jamaa ni mkali kama dingi yake.
 


ishakuwa noma

inabidi amrudishe Cisco
 



ambazo ni:

nz zinaendelea of course...

ama kweli nyoka hazai mjusi
 
Rais tunaye. Hata Eva Morales afadhali anaweza kusema ametengeneza style yake, sasa huyu Andre 300 si Andre 3000, Charles Njonjo si charles Njonjo, kituko tu!



Huyo pembeni hapo Kibonde?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…