Harusi ya mtoto wa Salim

Status
Not open for further replies.
Da! huyo bride hayo ndio macho yake au mimi tuu? duh!
 
nah jamaa walikuwa wote Foreign ni washkaji tuu ..au home boys

bt the way lile koti na hili yana tofauti?



Don't ge me wrong...there's nothing wrong with the coat....it just didn't go well with the occassion...I think
 
Mambo ya Raila Odinga na suti yake ya bluu bahari siku ya kuapishwa, koti reeeefu!
 
Wakuu huyo daktari bado ni Mtanzania au ana uraia wa nchi mbili....najaribu kuangalia anavoweza kusaidia Muhimbili pale.....hiyo shule si kitoto!
 
Wakuu huyo daktari bado ni Mtanzania au ana uraia wa nchi mbili....najaribu kuangalia anavoweza kusaidia Muhimbili pale.....hiyo shule si kitoto!


Labda angemuuliza Dr Masau
 
Uliza ujinga uerevuke Biaharusi anatokea wapi ?
 

Yeah,

Huyu jamaa ni mkali sana kwenye anga zake, kwani kuwekwa kuwa program director hapo Cedars-Sinai Medical Center ni lazima awe ameaminiwa vya kutosha hasa kwa vile anadili na maisha ya wa wamerekani.

Kuhusu hizo paper 340 siyo kweli kuwa kaziandika yeye. Alihitimu medical school mwaka 1994 tu kwa hiyo asingeweza kuandika paper za medicine mwaka 1966 au 1967. Hiyo list imetoka kwenye database kwa kutumia author "Salim" kwa hiyo nyingine zimeandikwa na akina Salim wengine tu.
 
dah!

I need to get more about the bride

haya tena kikosi cha CSI cha JF ingieni kazini jamani

duh! antokea ukoo gani huyo bibie?
 
Wakuu huyo daktari bado ni Mtanzania au ana uraia wa nchi mbili....najaribu kuangalia anavoweza kusaidia Muhimbili pale.....hiyo shule si kitoto!

Unajua swala la uraia wa nchi mbili hali-exist kwa watu wakubwa. Yani wao wanaweza kuwa nayo na isiwe shida kisheria. Sheria yabana wanyonge tu. Kushika ile post lazima uwe unakubalika. Na angeweza sana kusaidia Muhimbili. Especially kwa mtu kama yeye ambaye pesa si tatizo.
Ivi kushika post kama hii au kazi nyingine yeyote kama si raia, si lazima mwajiri wako aonyeshe kuwa hakuna mtu wa nchi hiyo aliye-qualified kufanya hiyo kazi?
dah!

I need to get more about the bride

haya tena kikosi cha CSI cha JF ingieni kazini jamani

duh! antokea ukoo gani huyo bibie?

duh...dont see how this wld help isipokuwa umbeya tu...
 
Wamanga utawajua juu walivyo na kasumba za ngozi nyeupe. Huyu mtoto wa Salim A. Salim atakuwa kakosa binti wa Kimanga wanayelingana kielimu na kimtazamo wa maisha kutokana na highly privileged background aliyokulia. Only option aliyobaki nayo ni kuoa Mzungu kwa kulazimisha. JK hapo wanamuona kama tumbili tu (in the back of their minds.) Hapo Salim A. Salim na mkewe wameridhika kweli angalau wajukuu watatokea weupe kama Wazungu! Damn!
 



point yako ya awali naikubali lakini ukitazama sie wanawake zetu wa visiwani si wengi ambao utawakuta wenye elimu sana kwa sababu mbali mbali


Pili kuna element ya SLAVE MENTALITY kubwa sana visiwani hivyo mbora hata kama hana akili ni yele anayeonekana kuwa ana ngozi nyeupe...hii ipo kwenye social events nyingi tuu zetu sie wa mwambao

Tatu na usisahau kuwa it was POLITICS OF RACE ambazo zilipelekea mapinduzi Zanzibar na ni issue ambayo wazanzibari hawapendi kuizungumzia kama vile wakenya hawapendi kuzungumzia WHITE SETTELERS waliona ardhi yenye rutba kule rift valley


Nne je itakuwa vibaya tukisema kuwa wazanzibari wengi bado wana suffer from POST SLAVERY SYNDROME?

Je unamaana kuwa SALIM AHMED SALIM ni UNCLE TOM fulani au?

i can see huu mjadala kuendelea pages zingine kama 10 hivi
 
duh...dont see how this wld help isipokuwa umbeya tu...

thats so homo, hapa watu wana have fun wewe kama uko so stuck kwa nini usiseme watu wakakupa namba za simu utasaidiwa?
 

I presume familia yenye elimu, wide world exposure, extremely privileged and top-notch status internationally kama ya Salim A. Salim wanajua kabisa skin colour goes hand-in-hand with social status everywhere in the world. These are very rational minded individuals, mind you! Kwa hiyo sitegemi kuwa wanafanya maamuzi yao kiholela holela tu haswa yale ambayo yanahusu masuala muhimu na ya msingi kama ndoa.

Its safe to say kwamba vigezo angalau viwili vilivyotumika katika kumpata mchumba anayefaa kwa mtoto wao ni compatibility in terms of life experience, education, world view, and not least suitable racial background.

That said, White girls (and I take her wife to be Caucasian) are relatively easier to date (and marry) for a guy from a high-achieving academic, elite Muslim family background like Ahmed Salim than your average eligible Mmanga woman (or even light-skinned African American woman given the fact that Ahmed Salim went to Howard, a traditionally Black School).But I guess, even light-skinned Black girsl just aren't good enough!).

Salim A. Salim may not necessarily be an Uncle Tom, but what is clear here (even by just looking at the wedding picture shown in this thread) is that, one way or the other, Social Conditioning always has its way with us and remains the one important (albeit subconsciously) underlying factor in many important decisions in human life.
 
Last edited:
thats so homo, hapa watu wana have fun wewe kama uko so stuck kwa nini usiseme watu wakakupa namba za simu utasaidiwa?

hahahaha...ukweli unaumaga! wacha mimi nifurahi tu. Watu wanataka kujua vitu ambavyo havitawaendeleza...kabila, nk. Small minds discuss...
Ungeuliza elimu, kazi, nk...thats more like it.
well...hope u get to satisfy ur curiosity...
 
Lakini kitu ninachojiuliza, resume hii inatakiwa iwe ya mtu mwenye miaka 50 na kitu , kwa sababu mpaka ufike kwenye hizo rank ni lazima uwe na experience ya muda mrefu ...Hands down dogo ni kipanga.

I think this is not FAIR, huu ni wivu tu wa watu. Bukueni nanyi mpate vilivyo vyenu kuliko kuanza kumuita mtu Kipanga. I think he deserve what he has achieved.
 
jk kavaa kachumbari,

nasikia huwa mbishi sana ktk swala la kuvaa

anatia aibu sana
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…