Harusi ya mtoto wa Salim

Status
Not open for further replies.
Huyu wa pembeni mama huyo ndo mama ake huyu Dr. Ali Salim?


Huyu kijana wa salm mbona kaoa mzee au kuna exchange kati ya baba na mtoto? maana yangu ni kwamba kijana kasimama na mama yake wakati baba kasimama na mkamwana nafikiri itasound zaidi

 
Dogo nimemwaminia, ni kipanga!!! The offspring of a lizard is a lizard!!!! Kwa kweli kama hiyo resume ni yake na hakuna cookings!!! then I salute him!!!! Na wife vipi!!!! halafu, I guess siyo mkubwa sana kiumri, ana approach his 40s!!!! Congrats!!!
 
ur damn right
 
HARAKATI ZA URAIS HIZO NDO ZESHAANZA. Baada ya mwaka 2005 kuambiwa kuwa ni mgeni hata watoto wake hawajulikani walipo, ndo intro hiyo kwa ajili yake na mtoto wake. Si wajua tena mambo ya siku hizi ni kurithishana uongozi.
 
Duuuu!!!! kumbe brother Kibonde yupo juu, amekaa meza moja na Rais wa nchi.
 
I think this is not FAIR, huu ni wivu tu wa watu. Bukueni nanyi mpate vilivyo vyenu kuliko kuanza kumuita mtu Kipanga. I think he deserve what he has achieved.


Naona hukuelewa maana ya neno kipanga, neno kipanga linatumika sana kwenye vyuo vya hapo Tanzania especially UDSM kumdescribe mtu mwenye akili zisizo za kawaida . Tafadhali , siku nyingine kama hujui maana ya kitu ask, don't just jump to the conclusion. Sasa kama mtu amesema huyu Daktari ni genious atakuwa anamuonea wivu then I will concede !
 
Wanajaribu kutambulishana ili rahisi kwa watoto wao watakapotaka kututawala
 

wenyewe wana kuambia, usinione mimi niko hivi(ngozi yangu ya black) ukimwona baba yangu uwezi amini mw......
au ukimwona ami wangu.....
 
ndoa ishajibu au watu wako bize kuandika ma pepa na kulipa mogeji?
 

Hiyo ni laana yako wewe ngozi nyeusi kumuwekea Dr. Salim na ukoo wake maneno yasiyokuwa na msingi hata kidogo.

Una ushahidi wo wote kuwa yeye ni mbaguzi hata ukaanza na neno 'wamanga'? Jamani ubaguzi na wivu kwa sababu ya rangi utawaisha lini nyinyi?

Na unawajua watoto wake wengine wameoa au kuolewa na akina nani?
 

Mzungu keshasilimishwa hapo, sababu bamdogo kakosa Mmanga mwenye hadhi yake kielimu. Kubali usikubali, ukweli ndiyo huo.
 
huyu mkuu hata akipewa ukatibu mkuu wa ccm hopely wadau hawatalalama kwamba urithinization ime2mika!,ah sema hata ccm watampotezea tym yake 2,haya sasa ndg zangu kina nape mwagezi hzo cv zenu hapa jamvini!,mhh kuna mwengine tangu azaliwe 1977 mpaka leo bdo hajaikamata degree ya kwanza!dada vai wa mzindakaya fanya fanya basi muda ucjekukupita huko kwenye elimu ya magumashi ah sori i mean kampala international university,c umemuona mtoto wa kigogo mwenzako ni doctor sasa!hahaha
 
usishangae, JK anavaa bullet proof ndio maana anonekana hivyo siku hizi. miaka ya mwanzao ya uraisi wake alikuwa anavaa bulet proof jacket marachache sana. ndio maana ulikuwa humuoni tofauti. naona maraisi wa Tz huwa na wakati mgumu kipindi cha pili cha urais wao?? maana Mkapa nae alianza kuvaa bulet proof full time term yake ya pili akawa anaoneka kibonge kwelikweli !!. swali ni Je ni nini kinawapa hofu wanapokuwa muhula wa pili??? kivuli chao wenyeewe?
 
Wakati watu mkiendelea kupiga kelele kuhusu pamba, ebu angalieni huyo dogo alivyokula shule. Niliangalia hii webiste kiasi fulani sikuamini kwani umri( I am just guessing, he is in mid or late 40s) na mambo aliyoyafanya haviendani !
Ali Salim MD

Aisee! Nimeona, sasa watoto wakina fulani wanasubiria kurithishwa vyeo vya kisiasa vya baba zao ili wazidi kutupa shida!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…