2.VINYWAJI
Jamani hiki kitengo mm nakiomba mnipe.
Itabidi wadau tujipige pige kumsaidia mwenzetu.
Ha ha ha.Umechagua vinywaji eeh.hatutaki ukae huko.Wewe tutakuweka kwenye Ulinzi.
Zenu mbona mimisimpati kabisa kwenye memories zangu.
Mhasibu wa Fedha naomba niwe mie
tarehe ngapi tujipange
Mwana JF mwenzetu ZEMU atafunga ndoa mwezi wa 7 kule Tanga( rejea thread yake mwenyewe:kitu kizuri kula na wenzio):Je kama ni kamati ya maandalizi unaona hapa JFnani anafaa kuwa mwenyekiti wa kamati ya:
1.CHAKULA
2.VINYWAJI
3.ULINZI
4.USAFIRI
5.BURUDANI.
naaaaah naa MC,kukaribisha wageni,naaaaah naaah labda atahitaji wadhamini,je nani awe
mdhamini wa bwana arusi na nani awe mdhamini wa bi arusi?
Jamani hiki kitengo mm nakiomba mnipe.
Itabidi wadau tujipige pige kumsaidia mwenzetu.
mambo yenyewe bado kidogo hadi july,hapa ni mipango tu.mhasibu wa fedha naomba niwe mie
tarehe ngapi tujipange
hii idara ya ya vinywaji wagombeaji wako tele,KULIKONI?Vinywaji plz bila shaka nimepita
unataka kuwapeleka DUBAI?Kuhakikisha wanaenda honeymoon nzuri nitafuteni!
Mwana JF mwenzetu ZEMU atafunga ndoa mwezi wa 7 kule Tanga( rejea thread yake mwenyewe:kitu kizuri kula na wenzio):Je kama ni kamati ya maandalizi unaona hapa JFnani anafaa kuwa mwenyekiti wa kamati ya:
1.CHAKULA
2.VINYWAJI
3.ULINZI
4.USAFIRI
5.BURUDANI.
naaaaah naa MC,kukaribisha wageni,naaaaah naaah labda atahitaji wadhamini,je nani awe
mdhamini wa bwana arusi na nani awe mdhamini wa bi arusi?
Kaka Tall kwanza nakushukuru kwa kuwakumbusha wanaJF, tarehe imebadilika kidogo itakuwa tarehe 17/04 baada ya tarehe hio ya awali kuwa na mkutano wa wachungaji.Karibuni sana WanaJF.
mboan imeshapitaaaaa!!!Kaka Tall kwanza nakushukuru kwa kuwakumbusha wanaJF, tarehe imebadilika kidogo itakuwa tarehe 17/04 baada ya tarehe hio ya awali kuwa na mkutano wa wachungaji.Karibuni sana WanaJF.