Harusi ya Robert Mugabe na Sara Francisca 1961

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Kwa picha harusi ya Robert Mugabe 1961

Wote ni wendazake

FB_IMG_16184235165403383.jpg
 
Robert, a hero who turned a villain.
I think he will always be a Hero in his own standards, Despite his many shortcomings we shall always remember him as a leader who fought against European domination.

If you get some time you should watch his speeches , specifically those which he addressed The UN general assembly, you will surely understand why he was hated by the Europeans.
 
i think he will always be a Hero in his own standards, Despite his many shortcomings we shall always remember him as a leader who fought against European domination...
Mzee Mugabe alichukiwa na wazungu, lakini waliomuondoa madarakani kwa mtutu wa bunduki ni wapigania uhuru wenzake. Unafahamu ni kwanini huyu mzee wetu ambaye alikuwa ni shujaa sana aliondolewa madarakani kwa aibu kiasi kile ???
 
i think he will always be a Hero in his own standards, Despite his many shortcomings we shall always remember him as a leader who fought against European domination
if you get some time you should watch his speeches , specifically those which he addressed The UN general assembly, you will surely understand why he was hated by the Europeans
Mashujaa wa Kiafrika wengi wanaanza kwa kuongoza kupinga wakoloni, halafu wao wenyewe wanageuka kuwa wakoloni weusi.

Ndicho alichofanya Mugabe Zimbabwe.
 
Gadafi
Saddam
Mugabe

Nilikua nawakubali, hasa hao wa juu Gadafi na Sadam 🔥🔥
 
i think he will always be a Hero in his own standards, Despite his many shortcomings we shall always remember him as a leader who fought against European domination
if you get some time you should watch his speeches , specifically those which he addressed The UN general assembly, you will surely understand why he was hated by the Europeans
Initially he was a real a hero, an frican leader who fought against european for interest of his people but later on he turned 360 degree from hero to zero to become the african leader who fought for his life against interest of all Zimbabwean under the umbrella of fighting against european.

Poor Mugabe!!
 
i might agree with you, at some point he was spoiled by those close to him, he was too old to make decisions regarding the state
 
Mashujaa wa Kiafrika wengi wanaanza kwa kuongoza kupinga wakoloni, halafu wao wenyewe wanageuka kuwa wakoloni weusi.

Ndicho alichofanya Mugabe Zimbabwe.
Ni kweli, nikipata Muda nitakuja kufanya tafiti kuhusu hili, huwa najiuliza sana kwanini viongozi wa ki Africa hawataki kuachia madaraka , maana unakuta kama ni pesa anayo nyingi tu lakini bado hataki kuondoka madarakani
 
Kwa case ya Mugabe, kuna habari kwamba Mugabe alikuwa tayari kuachia madaraka, alivyoshindwa na Morgan Tsvangirai mara ya mwisho.

Ila, alivyosema hilo, vyombo vyake vya usalama vikamkatalia. Vikamuambia abaki kuwa rais, kama mambo ya kuiba kura vitayamaliza.

Sababu ilikuwa kwamba, vyombo hivyo viliua, vilipiga na vilifunga sana wapinzani. Wakubwa wa vyombo hivyo walitumia nafasi zao kujitajirisha sana. Wote walikuwa wanaogopa kikija chama cha upinzani kushika madaraka, maovu yao yote yataibuliwa na watafungwa, au kuuawa kabisa.

Hii habari yao kuogooa madudu kuibuliwa ni moja ya sababu kubwa ya watu kung'ang'ania madaraka.
 
Mzee Mugabe alichukiwa na wazungu, lakini waliomuondoa madarakani kwa mtutu wa bunduki ni wapigania uhuru wenzake. Unafahamu ni kwanini huyu mzee wetu ambaye alikuwa ni shujaa sana aliondolewa madarakani kwa aibu kiasi kile ???
Ndio mkuu, alilalamikiwa kukatalia madaraka na hali ya uchumi wa nchi ilikuwa mbaya sana
 
Kwa case ya Mugabe, kuna habari kwamba Mugabe alikuwa tayari kuachia madaraka, alivyoshindwa na Morgan Tsvangirai mara ya mwisho.

Ila, alivyosema hilo, vyombo vyake vya usalama vukamkatalia. Vikamuambia abaki kuwa rais, kama mambo ya kuiba kura vitayamaliza.

Sababu ilikuwa kwamba, vyombo hivyo viliua, vilipiga na vilifunga sana wapinzani. Wakubwa wa vyombo hivyo walitumia nafasi zao kujitajirisha sana. Wote walikuwa wanaogopa kikija chama cha upinzani kushika madaraka, maovu yao yote yataibuliwa na watafungwa, au kuuawa kabisa.

Hii habari yao kuogooa madudu kuibuliwa ni moja ya sababu kubwa ya watu kung'ang'ania madaraka.
hapo sawa Mkuu, inakuwa kama yale aliyosema Nyerere kwamba alikuwa akitaka kuacha madaraka watu wake wanamshauri abaki mpaka mwisho akagundua walitaka abaki kwa maslahi yao
 
I think he will always be a Hero in his own standards, Despite his many shortcomings we shall always remember him as a leader who fought against European domination.

If you get some time you should watch his speeches , specifically those which he addressed The UN general assembly, you will surely understand why he was hated by the Europeans.

Alafu akawa anajilimbikizia mali anaenda wekeza China 🇨🇳
 
Back
Top Bottom