Harusi ya Yvona Kamuntu na Raymond Nyamwihula - Citizen tv

Harusi ya Yvona Kamuntu na Raymond Nyamwihula - Citizen tv

Meljons

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2012
Posts
3,105
Reaction score
1,406
Mdada mtangazaji wa star tv ameolewa na Raymond Nyamwihula ambaye naye allikuwa mtangazaji wa star tv, ila kwa sasa anafanya kazi Arusha ni Beural master. wameonesha harusi yao kwenye citizen telkevision ya Kenya. Wamependeza sana
 
Kingasti wangu nimekupata mara 1 tu ya pili umeolewa jamani
 
Back
Top Bottom