"Skai Ekurat" (in JPM voice) vipi bado upo kwenye hiyo ndoa au ni stori ndefu..? 😂Kitchen Party tuliifanya nyumbani. Tulipika wenyewe tena nilipika chapati mpaka saa 10 ndiyo nikaenda saloon. Chakula kilikuwa pilau, chapati na mchuzi wa kuku, ndizi nyama na kachumbari. Vyote tulipika nyumbani na binamu walihudumia.
Watu walikuwa kama 50 hivi majirani na marafiki. Tulipiga mziki mpaka watu walipopungua kabisa tulibaki ndugu tukahamishia party ndani.
Sherehe ya nyumbani haina gharama kubwa. Tulikodi viti watu walikaa nje na hakukua na mvua.
Send Off ndiyoilifanyika kwenye hall, tiki kodi na catering service.
HongeraBado nipo
Hahahahhaaaa!Mimi wa siku nyingi Mwifwa 1996
Mhenga kama sisi, na ndiyo maana imedumu, yanikumbusha harusi ya Nicas, kawachangasha watu na ndugu, hela akaenda kujenga na sherehe akafanyia mji wao mpya!Mimi wa siku nyingi Mwifwa 1996
bila shaka una mtoto anayezidi miaka 22Mimi wa siku nyingi Mwifwa 1996
Ila ajasema kama arusi ilikuwa kubwa mkuuJitahidi ndoa yako isiwe pia ya kawaida.
Shida ni pale harusi inakua kubwa,kwenye ndoa sifuri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sema ukweni kuna shida kidogo 😩 😩Kabisa