Harusi yangu ilikuwa ya kawaida sana Kitche Party tuliifanya nyumbani

Baada ya kuishi pamoja miaka mingapi?

Kwetu, kiutamaduni kabisa, bi harusi hagusi jiko, wiki au zaidi kabla hajaolewa na wiki au zaidi baada ya ndoa. Na kama hajui vizuri kupika basi somo atakuwa nae karibu mpaka aelewe kupika vyakula vyote muhimu.

Ndiyo maana wanawake wa pwani wengi ni mabingwa wa mapishi.

Nimeukumbuka tu utamaduni wetu unaopotea.
 
[emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] sijacheka sherehe,ila mwandishi sijui alikuwa na lengo gani?
 
Dakika za mwisho tuliambiwa mpishi wa chapati ana udhuru. ilinibidi nipike ili kuondoa jahazi katika sherehe yangu
 
Pesa
 
Ushauri huu uchukuliwe na wengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…