LOTH HEMA JF-Expert Member Joined Dec 6, 2015 Posts 18,611 Reaction score 27,615 Jan 9, 2016 #1 Kuna tofauti kati ya harusi za sasa na zamani,ilikuwa ni shughuli kupata uso wa bibi arusi wakati wa kupiga picha,na alikuwa amenuna,tofauti na sasa bi arusi kichwa wazi hadi mabegani na tabasamu sana.
Kuna tofauti kati ya harusi za sasa na zamani,ilikuwa ni shughuli kupata uso wa bibi arusi wakati wa kupiga picha,na alikuwa amenuna,tofauti na sasa bi arusi kichwa wazi hadi mabegani na tabasamu sana.