:::::::Harusi:::::::::

afrodenzi

Platinum Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
18,150
Reaction score
9,255
Wakubwa shikamooni
Wadogo marakhaba..
Wengineo mambo zenu..

Nway mie ningependa kuuliza
Nyimbo gani za harusi nzuri ..?
Au nyimbo gani zilikuwa kwenye harusi yako.?
Na kama bado hauja olewa / oa
Unapendekeza zipi? ..

Kuanzia kichangasha ukumbi, wa taratibu,
yaani nyimbo zozote watu watakazo
Furahia na ku cheza ..

Na tanguliza shukrani..
AD.
 
kWANI UNA MPANGO WA KUINGIA HUKO KWENEY CHAMA KARIBUNI AU NDO MAANDALIZI YENYEWE
 
Nyimbo ya taratibu i recommend huu:
..A Whole New World, a song by Peabo Bryson&Regina Belle
 
<b><font color="#008000">Nyimbo ya taratibu i recommend huu:<br />
..A Whole New World, a song by Peabo Bryson&amp;Regina Belle</font></b>

Sante mkuu
Ngoja niufuatilie huo..
 
Afrodenzi naona kuna mtu amefika bei. hahahahah congrats nitakupa list ya nyimbo ila kwa drsm Rose Mhando na wakati wa kula ni country songs....
 
Afrodenzi naona kuna mtu amefika bei. hahahahah congrats nitakupa list ya nyimbo ila kwa drsm Rose Mhando na wakati wa kula ni country songs....

Asante sana...

Nisiwachanganye si zangu.....
Namsaidia rafiki ambaye ana panic
......... sasa
 
kobyala ng'wana nkema, kwilolela banu kaganda kaganda
mlemona no nina wa mwana, alebina sundasunda
hahahahaaaaaa wasukuma mpoooooo

nwingine
Naaaaanogaga sana
mambalagi gosata na nogongo
pyeno kembele, na makono gale seba, ko nguno
lya lugendo, nenelagi motokaaaa

nolo basikeli, noyenemotoka
nolo mkokoteni, noyene motoka
nolo sikania, noyene motoka

najua nimekosea maneno ila nimejitahidi mwenzangu
hizo ziliimbwa sana kwenye harusi yangu lol
 

Nkama vile nakuona
Unauimba kweli kweli
Hahahaha lolz

Itabidi nikutafute baadaye
Uniimbie maana
sauti imenipote kidoncho..
Sante mwahego..
 

Mwehhhhh
unaonekana mtamu huo..
Sasa hayo maneno yanamaanisha nini??
Sante ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…