Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Tumekuja kuoa huku karakata, tumekaribishwa sebuleni kwenye mikeka, wakati chakula kinagawiwa kimetokea kituko cha mwaka, wamepita panya wawili wakubwa kwa kasi mpaka kwenye masufuria ya pia na kuanza kupigana bila woga ni taharuki njaa zinauma na masufuria ya pilau yamemwagikiwa na dumu kubwa la maji kwenye purukushani za kuwatimua panya! Kila mtu anaongea lake!